MZIGO
FIilamu Hii Fupi Inazungumzia Madhara ya Matumizi na Biashara Haramu ya madaa ya kulevya., inaonyesha kijana aliyejiingiza katika uvutaji na uuzaji wa madawa ya kulevya, mwishowe Kusalitiwa.
-
shafii maulidi satuDirectorAbuthaaqib
-
shafii maulidi satuWriterAbuthaaqib
-
al hijrah filmsProducerNdovu Films
-
muhammad mbindaKey Cast
-
Project Title (Original Language):swahili
-
Project Type:Short
-
Runtime:3 minutes 55 seconds
-
Completion Date:February 1, 2022
-
Production Budget:300 USD
-
Country of Origin:Tanzania, United Republic of
-
Country of Filming:Tanzania, United Republic of
-
Language:Swahili
-
Shooting Format:35mm
-
Film Color:Color
-
First-time Filmmaker:No
-
Student Project:No
Shafii Maulidi Satu amezaliwa mnamo mwaka 1991 ,Ni mtoto wa 6 kwenye Familia ya watoto 9 ,Anyefahamika kwa jina la AbuTahaaqib kwenye kazi zake za sanaa[Filamu,Mashairi,Mwandishi,Mwandaaji Na Muongozaji wa Filamu, pia katika harakati za DINI Pamoja na Harakati za Kijamii].
Mzaliwa wa ARUSHA,TANZANIA mwenye umri wa miaka 30, ni Mume na Baba wa watoto wawili.
mmiliki wa kampuni ya Filamu [ALHIJRAH FILMS NA NDOVU FILMS].